Hivi ndivyo barabara ya Kilwa inavyoonekana kwa sasa, barabara hiyo inategemewa kupunguza sana msongamano wa magari uliokuwepo katika eneo hili lenye wakaazi wengi wanaoitegemea njia hii pekee wanapotaka kusafiri.
kikwete anafanya vyema maana hii ni kuwaziba modomo wanaozani serikali yake imeshindwa, sasa waseme mangine. anyway labda huu ni wajibu wa serikali lakini kunakosa gani kuipongeza serikali kwa kutimiza wajibu wake
haya ndio mambo tunayoyahitaji kila siku tunalalamika ni kwamba hatuyaoni haya but kama serikali inafanya mambo kama haya tutalalamika nini. mimi ni ccm damu bt sometimes inaniyusha inaposhindwa kufanya mambo hata yale yanayoonekana ni muhimu na ya lazima. nawapongeza wa ccm marekani kwa jitihada japo na ninyi mmeanza uvivu.
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo.
U.S.A.
Contact
Welcome to the blog of CCM members living in the State of Texas in the United States of America. If you'd like more information about CCM, please contact us at ccmtexas12@gmail.com. We welcome suggestions and comments. If you'd like to become a member, email us and we'll assist you as quickly as possible.
What's the most pressing issue for Tanzanians abroad?
7 comments:
wanaolalamika hawajui serikali inafanya nini
ndejembi naona mmerudi, ulisafiri au ndo ugonjwa tena? blog ilikuwa kama imekufa vile. hayaa bwana endeleza usukani utufikishe salaama kabisa
Iddy Bonanza
texas
kikwete anafanya vyema maana hii ni kuwaziba modomo wanaozani serikali yake imeshindwa, sasa waseme mangine.
anyway labda huu ni wajibu wa serikali lakini kunakosa gani kuipongeza serikali kwa kutimiza wajibu wake
Said
Roma Italy
safari yaendelea japo kwa kusua sua wapinzani mnalo?
kokusima
haya ndio mambo tunayoyahitaji kila siku tunalalamika ni kwamba hatuyaoni haya but kama serikali inafanya mambo kama haya tutalalamika nini. mimi ni ccm damu bt sometimes inaniyusha inaposhindwa kufanya mambo hata yale yanayoonekana ni muhimu na ya lazima. nawapongeza wa ccm marekani kwa jitihada japo na ninyi mmeanza uvivu.
nataka ikamilike haraka tena sanaaa tumechoka foleni.
hija
mbagala kizuiani
safi hiyo haya kazi kwako mtumiaji
Post a Comment