
Tanzania wakiongozwa na timu kepten Halune Mwasabwite walijipatia goli hilo moja katika kipindi pili cha mchezo mfungaji akiwa kepteni huyo mwasabwite. ushindi huo unaifanya tanzania sasa kuongoza kundi A ikiwa na pointi nne baada ya kutoka sare na Sudani katika mchezo uliopita, Tanzania itaingia tena uwanjani jumamosi ijayo tar. 28/ 03/ 09 kupambana na (wahabeshi) timu ya Ethiopia.
Taarifa
Shaibu said,
Houston-Texas.
No comments:
Post a Comment