
Waziri wa viwanda, biashara na masoko Dr. Mary Nagu akionyeshwa bidhaa mbalimbali zinazozalishwa Tanzania na mmoja wa wakurugenzi wa Shrijee's bwana Vasant Shivji. Shrijee's ni moja kati ya maduka machache yanayojaribu kuuza bidhaa za Tanzania nje ya Tanzania.
Msomaji,
Tanzania.
1 comment:
Hizo bidhaa ni zipi ndugu msomaji ?
Post a Comment