Monday, March 30, 2009

Majeruhi katika ajari ya treni akipatiwa huduma ya kwanza, Waziri wa miundombinu Bi. Shukuru Kawambwa amesema kwamba kazi ya uokoaji imekuwa ikiendelea vizuri licha ya ugumu ambao unatokana na ukosefu wa vifaa vya uokoleaji.

2 comments:

  1. serikali iamke sasa kila siku ajali ikitokea wanadai vifaa vya either uokoleaji au vya matibabu ni lini tutajitosheleza kwa almost kila kitu?

    john
    oklahoma

    ReplyDelete
  2. poleni kwa ajali hiyo mbaya sana

    alfani

    ReplyDelete