Monday, March 30, 2009

NI MSIBA, MAJONZI NA HUZUNI NCHINI TANZANIA

Baadhi ya wakazi wa Mji wa Dodoma wakisaidia katika zoezi la utoaji wa miili ya watu waliofariki
katika ajari ya train iliyotokea mjini dodoma jana mchana. Habari zaidi zinasema kwamba
mamia kadhaa ya watu toka pembe zote za tanzania wamekuwa wakifurika katika Hospitali ya mkoa wa Dodoma maarufu kama "General Hospital" kutambua miili ya ndugu zao.

2 comments:

  1. asanteni waakaazi wa mji wadodoma kwa ukalimu na kujitolea kuwasaidia ndugu zetu hao

    simoni
    reading

    ReplyDelete
  2. kwa kweli inahuzunisha
    anyaway nawapa pole wafina na nawaombea majeruhi wote wapone haraka na mungu awe nao wakati wote
    ameni

    michael uboja
    brazil

    ReplyDelete