Tuesday, March 31, 2009

Baadhi ya majeruhi wa ajari ya treni wakisubiri kuruhusiwa. Habari zaidi zinasema kuwa watu kadhaa ambao wamepata majeraha madogo wamekuwa akitibiwa na kuruhusiwa na wengine kadhaa wamelazwa hospitalini hapo.

4 comments:

  1. heri hawa hawakukumbwa na mauti

    ReplyDelete
  2. mungu atawalinda
    ameni

    ReplyDelete
  3. poleni ndugu zanguwatanzania
    kwa msiba huu

    alvin
    arusha
    tanzania

    ReplyDelete
  4. safari haikuwa nuksi ila imetokea tu.

    ReplyDelete