Tuesday, March 31, 2009

BARABARA YA KILWA YAELEKEA KUKAMILIKA

Hivi ndivyo barabara ya Kilwa inavyoonekana kwa sasa, barabara hiyo inategemewa kupunguza sana msongamano wa magari uliokuwepo katika eneo hili lenye wakaazi wengi wanaoitegemea njia hii pekee wanapotaka kusafiri.

Msomaji
Tanzania.

7 comments:

  1. wanaolalamika hawajui serikali inafanya nini

    ReplyDelete
  2. ndejembi naona mmerudi, ulisafiri au ndo ugonjwa tena? blog ilikuwa kama imekufa vile. hayaa bwana endeleza usukani utufikishe salaama kabisa

    Iddy Bonanza
    texas

    ReplyDelete
  3. kikwete anafanya vyema maana hii ni kuwaziba modomo wanaozani serikali yake imeshindwa, sasa waseme mangine.
    anyway labda huu ni wajibu wa serikali lakini kunakosa gani kuipongeza serikali kwa kutimiza wajibu wake

    Said
    Roma Italy

    ReplyDelete
  4. safari yaendelea japo kwa kusua sua wapinzani mnalo?

    kokusima

    ReplyDelete
  5. haya ndio mambo tunayoyahitaji kila siku tunalalamika ni kwamba hatuyaoni haya but kama serikali inafanya mambo kama haya tutalalamika nini. mimi ni ccm damu bt sometimes inaniyusha inaposhindwa kufanya mambo hata yale yanayoonekana ni muhimu na ya lazima. nawapongeza wa ccm marekani kwa jitihada japo na ninyi mmeanza uvivu.

    ReplyDelete
  6. nataka ikamilike haraka tena sanaaa tumechoka foleni.

    hija
    mbagala kizuiani

    ReplyDelete
  7. safi hiyo haya kazi kwako mtumiaji

    ReplyDelete