Tuesday, March 31, 2009

Hii ni pembeni mwa barabara ya Kilwa eneo ambalo linatumiwa na waendesha baiskeli, barabara hiyo imetengenezwa kukidhi mahitaji ya makundi yote ya watumiaji barabara wakiwemo watembea kwa miguu.

6 comments:

  1. waaaume hivi hii ndio kilwa road? ile barabara mbovu mike acha maslhah mkuu.

    ReplyDelete
  2. nimefurahi kuona posting zimeanza kwa kasi kama ile ya mwanzo hii ni ishara njema sana kwetu sisi wanahabari

    Cesy
    India

    ReplyDelete
  3. nyii mamoderator mlizamia wapi, maana hii si kawaida ati? anyway good job boy keep it up acha mafala wachonge.

    Samson
    NEWYORK

    ReplyDelete
  4. big up wana ccm kwa kutupa habari motomoto. si unaona bwana tugejuaje kwamba bongo nako tambalale

    Aisha
    Chicago Ill

    ReplyDelete
  5. chama chetu cha mapinduzi cha jenga nchi, kikwete aaaaah, na mwinyi waajenga nchi, ndejembi aaah na viongozi wajenga blogyyyyyy

    Victor
    Liverpool
    uk

    ReplyDelete
  6. eee bwana eeeh bongo kama mtoni babaake

    ReplyDelete