Tuesday, March 31, 2009

HONGERA MH. JK

Rais JK akimlisha mkewe mama Salma keki katika sherehe ndogo iliandaliwa maalumu kwa
ajili kusherekea kutimiza miaka 20 ya ndoa yao.

3 comments:

  1. hongera jk kwa kutunza ndoa bt kumbuka kwamba wewe ni mfano miongoni mwa wanandoa hivyo itunze ili nayo ikutunze

    Maackusi

    washington
    DC

    ReplyDelete
  2. kama ni ndoa hongeni nilidhani ni part tu yakaida

    ReplyDelete
  3. safii jk hio ndio amana ya moyo wako, usitutanie ukaichezea utavunja heshima

    ReplyDelete