Moja ya viongozi waliohudhuria mkutano wa uwekezaji huko Arusha Mh. Lowasa akimsikiliza kwa makini rais Karume ambaye ndiye aliyefungua mkutano huo muda mupi baada ya ufunguzi.
Nchi yetu ina idadi ya watu wasiopungua millioni 39 lakini watu ninao waona kila siku ni wale wale. Huyu jamaa sialitangaza kuacha kazi, sasa inakuwaje yupo huku. Watanzania nasisi inabidi tuwe makini na tunaowatuma.
Kuna watu wanadai eti huyu jamaa anaakili sana lakini mimi sioni kama akili zake ni za kusaidia nchi yetu bali watu wachache wenye rohoo mabaya kwa watanzania walio wengi
Nchi yetu ina idadi ya watu wasiopungua millioni 39 lakini watu ninao waona kila siku ni wale wale. Huyu jamaa sialitangaza kuacha kazi, sasa inakuwaje yupo huku.
ReplyDeleteWatanzania nasisi inabidi tuwe makini na tunaowatuma.
Kuna watu wanadai eti huyu jamaa anaakili sana lakini mimi sioni kama akili zake ni za kusaidia nchi yetu bali watu wachache wenye rohoo mabaya kwa watanzania walio wengi
ReplyDelete