Tuesday, December 16, 2008

MBEYA HATUTAKI KAMPENI CHAFU - TENDWA

Msajili wa vyama nchini Tanzania amewataka wagombea, mashabiki na wanachama wa vyama
vyote vinavyotarajiwa kugombea jimbo la Mbeya vijijini kujiupusha na vurugu kama zile zilizotokea tarime siku chache zilizopita.
M/Ndejembi.

2 comments:

  1. Kwa mtaji huu ccm hawana mpinzania

    Mwanachama-UK

    ReplyDelete
  2. CCM mchezo mchafu hatutaki, sisi wapinzani tunachotaka ni haki tu.

    ReplyDelete