Tuesday, December 16, 2008
UKAPELA SASA BASI!
Msanii wa Bongo freva toka kundi la TMK wanaume family Mh. Temba akiwa mbele ya Madhebahu akifunga pingu za maisha, Jumamosi iliyopita katika kanisa la Azania Front Jiji Dar es salaam.
M/Ndejembi.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment