Ndejembi kwa mwendo huu utatushika wengi, siipendi ccm kwa ufisadi na ubinafsi lakini kwa mwendo huu blog yenu nitaitembelea kila wakati kwani iko very bize na ina mambo matam matam tu. Jamaa wa hapa londoni wamefurahi sana kuiona picha wa katibu wao.
C! C! M! Oyeeeeeeeeeeeeeeeh! ndugu zangu nataka kuwapongeza hawa jamaa wa C C M marekani!, sio tu kwa kuwa na mtandao bali kwa kuwa na mtandao wenye akili.maana hapa kwetu ufaransa tumeshindwa kabisa kuwa na kitu kama hiki na mbaya zaidi sote hatujui tatizo ni nini. Marekani hongereni saaana!
Ndejembi kwa mwendo huu utatushika wengi, siipendi ccm kwa ufisadi na ubinafsi lakini kwa mwendo huu blog yenu nitaitembelea kila wakati kwani iko very bize na ina mambo matam matam tu. Jamaa wa hapa londoni wamefurahi sana kuiona picha wa katibu wao.
ReplyDeleteMaadam ndejembi ndo mtaalam mwenyewe sina shaka na mtandao,
ReplyDeletewakimbize mwaanangu, India wote tuna kusaport.
C! C! M! Oyeeeeeeeeeeeeeeeh! ndugu zangu nataka kuwapongeza hawa jamaa wa C C M marekani!, sio tu kwa kuwa na mtandao bali kwa kuwa na mtandao wenye akili.maana hapa kwetu ufaransa tumeshindwa kabisa kuwa na kitu kama hiki na mbaya zaidi sote hatujui tatizo ni nini.
ReplyDeleteMarekani hongereni saaana!
mtaalam
Maadam ndejembi ndo mtaalam mwenyewe sina shaka na mtandao,
ReplyDeletewakimbize mwaanangu, India wote tuna kusaport.