Dogo hii iko wapi? niko houston muda mrefu lakini sijawahi kuiona nijulishe pls,pia hongera kwa mtandao bora kabisa.jackson.
Wasaaaam aleekum ndugu wanajumuia sasa si kwa muchuzi tu bt pia kwenye mtandao wetu weny'ewe mwayego,hii safi sana nduugu mwenyekiti. sultan juma.
Sasa mkuu,ndugu Ndejembi na viongozi wengine wa chama waambieni wale wote waliotutukana kwa michuzi hatuwataki huku. huu ni uwanja wetu wa nyumbani na tunacheza tutakavyo.
Oyaaaaaaa, hii ni baaab kubwa imeanza lini wandungu!
Hata bongo tunayo kama hii. Kuna mmoja wa kuongozea meli ni mrefu kuliko huu.
Dogo hii iko wapi? niko houston muda mrefu lakini sijawahi kuiona nijulishe pls,pia hongera kwa mtandao bora kabisa.
ReplyDeletejackson.
Wasaaaam aleekum ndugu wanajumuia sasa si kwa muchuzi tu bt pia kwenye mtandao wetu weny'ewe mwayego,hii safi sana nduugu mwenyekiti.
ReplyDeletesultan juma.
Sasa mkuu,ndugu Ndejembi na viongozi wengine wa chama waambieni wale wote waliotutukana kwa michuzi hatuwataki huku. huu ni uwanja wetu wa nyumbani na tunacheza tutakavyo.
ReplyDeleteOyaaaaaaa, hii ni baaab kubwa imeanza lini wandungu!
ReplyDeleteHata bongo tunayo kama hii. Kuna mmoja wa kuongozea meli ni mrefu kuliko huu.
ReplyDelete