Thursday, December 18, 2008

Kansas city Power & light district

Hapa ni mjini Kansas City asubuhi ya leo kwenye kitongoji cha Kansas City Power & Light District. Kwa matukio zaidi kwenye hiki kitongoji bonyeza hapa http://www.powerandlightdistrict.com/ , tunakushukuru sana ndugu yetu kwa picha hii

3 comments:

  1. Kumbi kansas city si mchezo, nashukuru sana kwa kunipatia hii picha

    ReplyDelete
  2. Ninapenda sana hii blog maan imenifungua macho. Wabongo ndio maana hamtaki kurudi kwenu.

    ReplyDelete
  3. Na mimi najiandaa kukutumia picha nyingine naomba usinibanie itundike watu wajue ninapoishi.

    ReplyDelete