Waziri wa Mambo ya Nche na Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe akiwashukuru mabalozi wanaofanya kazi hapa nchini wakati alipowaandalia chakula cha jioni katika ukumbi wa st Gasper Dodoma.
Baadhimya Mabalozi wanaofanya kazi hapa nchini wakimsikiliza Waziri wa Ushirikiano wa Mambo ya Nche na ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe wakati alipowaandalia chakula cha jioni katika ukumbi wa ST Gasper Mjini Dodoma baada ya kumaliza kusomwa kwa bajeti. Red wine na mazungumzo yanaenda safi kabisa.
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo.
U.S.A.
Contact
Welcome to the blog of CCM members living in the State of Texas in the United States of America. If you'd like more information about CCM, please contact us at ccmtexas12@gmail.com. We welcome suggestions and comments. If you'd like to become a member, email us and we'll assist you as quickly as possible.
What's the most pressing issue for Tanzanians abroad?
No comments:
Post a Comment