skip to main | skip to sidebar
CHAMA CHA MAPINDUZI -- TEXAS

Thursday, March 5, 2009

SPIKA SITTA ADHIHIRISHA UZALENDO WAKE KWA TAIFA.

SAKATA la ununuzi wa mitambo ya ufuaji umeme wa dharura ya kampuni ya Dowans Tanzania Limited, jana lilimgusa spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta na kuamua kutoa tamko kali la kuitahadharisha serikali dhidi ya azma yake ya kutaka kuinunua mitambo hiyo yenye utata.Spika Sitta pia ameonya kuwa mkasa wa kampuni tata ya Richmond Development (RDC) LLC uliotikisa kiasi cha kusababisha Edward Lowassa awajibike kwa kujizulu wadhifa wake wa waziri mkuu, lisifufuliwe upya kwa kutumia Dowans, ambayo ilirithishwa mkataba wa miaka miwili wa kufua umeme wa dharura.
msomaji.
Dar es salaam.

Posted by CCM-TEXAS at 5:58 AM

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
View mobile version
Subscribe to: Post Comments (Atom)

CCM's Top Leaders

CCM's Top Leaders
for more about Chama Cha Mapinduzi ( CCM ), click on the image above

What about Tanzania?

  • Click here, for more information about Tanzania(bonyeza hapa)

CCM IN THE UNITED KINGDOM

  • for more about Chama Cha Mapinduzi in the United Kingdom (U.K),click here

Dar es Salaam time

Chama Cha Mapinduzi -- Marekani

Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo.

U.S.A.

Contact

Welcome to the blog of CCM members living in the State of Texas in the United States of America. If you'd like more information about CCM, please contact us at ccmtexas12@gmail.com. We welcome suggestions and comments. If you'd like to become a member, email us and we'll assist you as quickly as possible.

What's the most pressing issue for Tanzanians abroad?

Blog Archive

  • ►  2012 (17)
    • ►  November (1)
    • ►  July (1)
    • ►  May (1)
    • ►  March (6)
    • ►  February (8)
  • ►  2011 (12)
    • ►  November (7)
    • ►  May (1)
    • ►  April (2)
    • ►  February (2)
  • ►  2010 (77)
    • ►  November (3)
    • ►  October (4)
    • ►  September (9)
    • ►  August (5)
    • ►  July (5)
    • ►  June (7)
    • ►  April (13)
    • ►  March (12)
    • ►  February (2)
    • ►  January (17)
  • ▼  2009 (421)
    • ►  December (30)
    • ►  November (31)
    • ►  October (12)
    • ►  September (17)
    • ►  August (24)
    • ►  July (28)
    • ►  June (29)
    • ►  May (36)
    • ►  April (50)
    • ▼  March (54)
      • Bango likionyesha pande mbili zinazotumiwa na wae...
      • Hii ni pembeni mwa barabara ya Kilwa eneo ambalo ...
      • BARABARA YA KILWA YAELEKEA KUKAMILIKA
      • HONGERA MH. JK
      • KIONGOZI MWINGINE AFRIKA AFUATA NYAYO ZA MWL. NYER...
      • Moja ya majeruhi akipatiwa matibabu mara baada ku...
      • Baadhi ya majeruhi wa ajari ya treni wakisubiri k...
      • Majeruhi katika ajari ya treni akipatiwa huduma y...
      • NI MSIBA, MAJONZI NA HUZUNI NCHINI TANZANIA
      • Hii ni moja kati miili iliyobanwa na vyuma ndani ...
      • Hapa ukaze moyo" Moja ya baadhi ya miili ya mareh...
      • Polisi wakipata maelezo toka kwa moja ya watu wal...
      • TANZANIA TRAIN WRECK DELIBERATE
      • MAKUMI WAFARIKI UWANJANI IVORY COAST.
      • BREAKING NEWS.
      • NANI ANAHITAJI MSAADA?
      • NI MAJI AU STYLE YA MAISHA YETU?
      • Waziri wa Elimu na Mafunzo Prof. Jumanne Maghemb...
      • BURUDANI NA MICHEZO
      • UConn's Thabeet destroys Purdue’s shots
      • Mwenyekiti wa CCM rais Kikwete ashiriki maziko ya ...
      • South Korean Group May Build 210-Megawatt Wind Far...
      • Mfungaji wa bao la ushindi la Tanzania kepteni Har...
      • TANZANIA 1- BURUNDI 0
      • KAMATI YA USHAURI YA MADINI YAZINDULIWA NA WAZIRI ...
      • SERIKALI imebainisha sababu za kutwaa sehemu ya en...
      • RAIS JAKAYA KIKWETE AREJEA KUTOKA UINGEREZA
      • SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU TFF KUMUONGEZEA MKATAB...
      • President Kikwete off to London for Pre- G29 meet
      • JIONEE ZIARA YA WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA SOKO...
      • BURUDANI YA WEEK !!!!!!!!!!!!!
      • MARCIO MAXIMO KUENDELE KUIFUNDISHA TIMU YA MPIRA W...
      • Can Tanzanians living abroad contribute in reducin...
      • MAGUFULI AKAMATA MELI YA MAHARAMIA TOKA VIETNAM WA...
      • MKUTANO MKUU WA IMF WAFUNGULIWA DAR ES SALAAM- TAN...
      • SUDANI YAPIMA UWEZEKANO WA KUBADIRISHA WARANTI YA ICC
      • Tanzania accepts national’s dropping
      • Albino giraffe spotted by ccm marekani
      • Joint team to study Tanzania tax regime
      • Sherehe za siku ya wanawake duniani zilivyoshereke...
      • THE ORIGINAL COMEDY NAO WALIKUWEPO KATIKA SIKU YA ...
      • HIV/AIDS infection, prevalence rate drops in Tanzania
      • BAN KI MOON AMEMBADILISHA PROF ANNA TIBAIJUKA
      • Hutuba ya waziri mkuu Mheshimiwa Mizengo Kayanza P...
      • Wanafunzi wakiwaunga mkono maalbino huku wakionye...
      • Mama Kikwete atembelea hospitalini
      • AFTER A DEVASTATING BIRTH ENJURY, HOPE
      • MZIGO MZITO WAIELEMEA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA.
      • SUDAN WARNS CONSEQUENCES OVER BASHIR WARRANT.
      • SPIKA SITTA ADHIHIRISHA UZALENDO WAKE KWA TAIFA.
      • Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri...
      • KIKWETE KUZINDUA KAMANDI YA NCHI KAVU - LEO.
      • HOTUBA YA MWISHO WA MWEZI YA RAIS WA JAMHURI YA MU...
      • Kawawa joins growing army of CCM critics: Adds to ...
    • ►  February (46)
    • ►  January (64)
  • ►  2008 (75)
    • ►  December (75)