Wednesday, December 24, 2008

Uwe ni wakati mnzuri wa kutafakari yaliyopita, yaliyopo na yajayo kabla ya kuamua kipindi kijacho tuwe katika mtazamo gani.

5 comments:

  1. hii ni ishara njema kwetu na kwamba labda ninyi ni moja kati ya viongozi bora. ndejembi tunakuheshimu saana na asante kwa salaam za christmas

    ReplyDelete
  2. yaa tutafakari na hasa mwenendo wa kisiasa nchini tanzania.

    ReplyDelete
  3. asante kaka nenda hivyo hivyo ndugu tupo pamoja nawe.

    ReplyDelete
  4. hatuitaji kutumia mda mwingi kutafakali wakati tatizo linajulikana. Mafisadi next on line

    ReplyDelete
  5. Ujumbe huu nimzuri sana hasa wakati huu wa sikuku za x-mas na mwaka mpya. Ninawatakaia sikukuu njema watanzania wenzangu

    ReplyDelete