
Kwa niaba yangu, viongozi wenzangu na wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa Marekani tunapenda kuwatakia kila la kheri na baraka ya sikukuu hii ya Christmas watanzania wote popote pale walipo tukiwaombea afya njema, sikuku yenye amani na utulivu na furaha vitawale mnaposherehekea sikukuu hii
Mwenyekiti.
Tunawashukuru sana ccm nchini marekania kwa salaamu zenu kwetu sisi watanzania wote popote pale tulipo, na nyinyi mungu awabariki katika shughuli zenu.
ReplyDeleteMWENYEKITI NA VIONGOZI WOTE WA CCM USA NAWASHUKURU KWA SALAMU ZENU KATIKA KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU YA CHRISTMAS.
ReplyDeleteJOHN
CHICAGO
Kila la kheli mwenyekiti salamu zako zimetufikia
ReplyDeleteWhile I’ll always enjoy Christmastime – there’s no denying the fact that Christmas is a lot more fun and exciting when there are youngsters running around the house on Christmas morning.
ReplyDeleteMERRY CHRISTIMAS TO YOU TOO
Kweli CCM inatujari, asante wana ccm mnajaribu kujenga imani.
ReplyDeletemwenyekiti naomba kuuliza hivi haujaandaa kaparty kadogo hivi kwa ajiri yetu sisi mkuu?
big j
houston tx
Memories of Christmases past – when our family scrambled to the Christmas tree on Christmas morning to see what Santa had left behind – christmas will always be among my favorite.
ReplyDeleteAsante sana mwenyikiti na wanachama wote wa ccm marekani
Oooh! asante saaaana bwana ndejembi. hizi salaam si kwetu sote hata sisi wapinzani si ndio au?
ReplyDeletevipi hamjaandaa vinywaji bwana mwenyekiti, nashukuru kwa salaam nedejembi
ReplyDeleteAsante kwa kutukumbuka na mbarikiwe viongozi wote wa ccm marekani. ombi langu kwenu jiepusheni na ufisadi unatumaliza.
ReplyDeletemchangiaji
houston
ccm tanzania wao vipi hawajatukumbuka au ndio nyie mnawakilisha.nakushukuru mkuu michael
ReplyDeleteccm tunataka mtuunganishe jumuia imeshindwa. salamu nimezipata ndejembi
ReplyDeletepoa ndejembi nasi tunawatakia kila la kheri viongozi wote wa ccm marekani
ReplyDeletemtuu uk
My name is Masawe. Just wanted to say Merry Christmas to my friends and family back in tanzania, moshi. Thank you ccm marekani for the support and what you have done to us.
ReplyDeleteI love you all
Hello, I'm Stephen from Tabora. This message is for my parents Grant and the rest of tanzanians, Merry Christmas, Happy New Year, Happy Holidays and I love you all.
ReplyDeleteHi, this is Abdou. I'm here in New Hampshire. I wish you all a happy holidays and hang in there, I'll be going to Tanzania soon.
ReplyDeleteThis is what's up. Thank u CCM USA
Hello, Tanzanians, John Katongo...Kansas City. I wish family, friends, back at Kijitonyama, Dar es salaam; happy holidays and see you when I get on leave.
ReplyDeletePeace
Hi, I am Joseph Byabato from Bukoba. I want to say happy holidays to everybody at katoma, Muleba.
ReplyDeleteccm tunawashukuru kutupatia nafasi hii.
Mwenyekiti na viongozi wote wa ccm tunawashukuru kwa salam zenu
ReplyDeleteTembo
Houston
Hii ccm nimewakubali. Nyinyi hiko akili sana. Nimegundua kuwa mtu unapofanya mambo mazuri watu wanaweza kukuchukia kwa wivu wao. Kweli nyere alisema mabadiliko ya siasa nchini yatatokea ndani ya ccm. Inaonekana JK mkakati wake ni wa nguvu sana. Hopefully he will be able to crackdown fisadi's
ReplyDeleteyeaah imma hapa, napatika singida aka singapore nawasalimu masela wote kijiwe cha mtaloni na wengine wote. sikukuu njema
ReplyDeleteimma
singapo
You to mr. Ndejembi n all member of ccm i wish you all happy chrismass and prosperous new year
ReplyDeletemaumba-
paris.
kila la kheri wana mtandao wote wa ccm
ReplyDeletemjumbe.
DC USA
Sikukuu njema wana mtandao na watanzania wote.
ReplyDeletehey mud boy hapa, i just say happy holiday 2ma wife jane, her sister josephine n 2 all ma home boy. last to u ndejembi.
ReplyDeletemerry xmass to all tanzanians n special greating to mr. ndejembi michael, plz send me ur 4n # or ur email.
ReplyDeleterose.
chrismass njema to all tanzanians people, mr. ndejembi do u kuamini ktk chrismss au dini?
ReplyDeletesalaam bwana viongozi ccm na wabongo wote. acheni majungu
ReplyDeleteI do bealive ndejembi ni mfano wa kuigwa happy sikukuu nyie binadamu wote.
ReplyDeleteWhen I came to visit at Christmas time I took a day trip to Chicago to see the Christmas tree. I met up with the Whites. After walking to the tree, I walked to a local Subway to have dinner. It was a lot of walking, but a lot of good things to enjoy.
ReplyDeleteIt was great to find out this blog site because it remind me all of the good things. I wil let all my friends know about this site because they will love it
Merry x-mas to you all
This is Kileo from Michigan. I'd like to wish my friends in dar, tanzania, my mother and father, Jonas and ... , my sister Joyce and my nieces Anna and Jasinta. Happy Holiday season and to all - I hope to see you soon.
ReplyDeleteHi, I'd like to shout out hello to my mom and dad, my family in dar-es-salaam. Hoorah, go family. Happy holidays.
ReplyDeleteMartin
D.C
My name is Robert. Just wanted to say Merry Christmas to my friends and family back in Arusha, dar, and mwanza. Thank you for the support.
ReplyDeleteI love you all.
mwanangu hii ni baaaaaaaaaaaaab kubwa unajua we ni kifaa sijui kwanini unahangaika na mambo ya ccm bwana michael. mi nilidhani ungetumia muda wako mwingi kwenye shule na chadema but i wonder how comes umekuwa mwanachama wa ccm au ni mzee amekushinikiza? anyway ningekushauri ufikirie vizuri maana hiyo ccm haikujari kwa kiwango ambacho chadema wangekujali. ukichange mind let me know.
ReplyDeletendima
austin-tx
ndejembi ujue jamii ya houston wankuheshimu sana! ningependa sana kusikia uko chadema au chama kingine chochote cha upinzani lakini sio ccm hawana dili hao.
ReplyDeleteMery x-mas 2 u 2
ReplyDeletethanks
I love you Tanzanians. god be with you all.
ReplyDeleteMerry christmas
I wish all of you a glorious holiday season with our range of warm and heartfelt Spirit Of Christmas and new year.
ReplyDeleteHi. I just wanted to say Happy Holidays, Merry Christmas to all my friends and family in dar,tanzania. I love and miss you all. Wish I could be there, spend Christmas with the family, but I'll be there as soon as I can. I'll be there next year and in the mean time I'm staying safe, keeping my head down. Love and miss you all and hope you have a safe holiday.
ReplyDeleteI'm Stephen in new york, u s a. I want to say hi to my mom, dad, sister, nephew back in dodoma, tz.
ReplyDeleteHappy holidays and I love you guys.
This is Josephine from plattsburgh, New York. I'd like to wish my family in Bukoba, my mother and father, Mutta and ...Magret, my sister Koku and my nieces Anna . Happy Holiday season.
ReplyDeleteI hope to see you next year.
Nawatakia wana ccm na watanzania wote sikukuu njema
ReplyDeleteMbongo----tx
Aaaah! mkubwa salamu nimezipata, ila sijakuona bwana mitaani vipi? nawasalimu wachezaji wote wa htown na wapenzi woa wote.
ReplyDelete