yeeeh mwana, hii mbona ndo yenyewe. hivi vitu tusiishie kuviona tu kwenye blog ya ccm tuna vitaka sana hivi vitu hapa bongo tuiona mambo haya yanafanyika mbona tunaacha migimo. ee bwana Michael washkaji wa IFM wanakupa salam nyinyi sana.
Niambie bingwa wa mabingwa! mwana uko mtohni!? we chamcha sikuwezi. ebwana mi nawakia salaam masela wote wa hapa IFM,CBE,DIT,TUMAINI,MZUMBE NA SUA sijawasahau pia wazee wa Mlimani.
Nilipita daraja hili si mchezo maana unajisikia kama umepanda ndege. Umbali wake ni kama maili sita hivi juju kwa juu. Kweli wenzetu wapo mbali sana
ReplyDeleteCCM naomba mtundike na lile la kule hili wenzetu waliopo nyumbani walau wayaone kwa macho.
Kama hili ndio tunaitaji pale jangwani.
ReplyDeleteyeeeh mwana, hii mbona ndo yenyewe. hivi vitu tusiishie kuviona tu kwenye blog ya ccm tuna vitaka sana hivi vitu hapa bongo tuiona mambo haya yanafanyika mbona tunaacha migimo.
ReplyDeleteee bwana Michael washkaji wa IFM wanakupa salam nyinyi sana.
Hamis J.
mzee wa sebene
IFM- Dar es salaam Tz
Niambie bingwa wa mabingwa! mwana uko mtohni!? we chamcha sikuwezi. ebwana mi nawakia salaam masela wote wa hapa IFM,CBE,DIT,TUMAINI,MZUMBE NA SUA sijawasahau pia wazee wa Mlimani.
ReplyDeleteLusajo
Ifm bongo
tunataka viongozi wa kututendea mambo kama haya sio ufisadi tu.
ReplyDeletesawa sawa wana ccm nazikubali jitihada zenu. kila la kheri kwa mwaka ujao wa 2009
ReplyDeleteHili ndio tunaitaji pale kigamboni
ReplyDeleteJe lile la manzese linaendeleaje?. Naomba mwenye taharifa aau picha awatumie ccm walibandike litanikumbusha mbali
ReplyDelete