Monday, December 29, 2008

Hii ni picha ya Governor wa Alaska Bi. Salah Polin aliyeteuliwa na Bw. McCain kuwa mgombea mwenza wa nafasi ya umakamu wa urais. Picha hii ilipigwa na Mtanzania Bw. Julias Ayub wa Ohio na kutumiwa katika kurasa ya mbele ya moja ya magazeti ya Ohio, tunakupongeza bwana Julias kwa kitendo chako cha kushujaa.

J. Ayub
Ohio.

5 comments:

  1. watanzania sasa wanaelimika yaani mtu kumpiga picha salah polin anapogezwa? atukuzoea kuviona hivi vitu, asanteni wanaccm kwa kuanza kuwathamini/ kuthamini ushujaa japo ni mdogo imani yangu inanituma kwamba mnaonyesha njia kuelekea tunakokutaka

    ReplyDelete
  2. tupo juu jamani hivi kwanini wabongo tunajishusha?
    haya mambo yanawekazana jamani kwani wao wanaweza wananini na sisi tundwe tunanini?.

    jetu, Lusaka
    zambia

    ReplyDelete
  3. jamani tuko jirani kumpata kiongozi wa ngazi yeyote mtanzani hapa marekani, kama mambo yenyewe ndio hivi?

    mchangiaji
    Atlanta

    ReplyDelete
  4. Tanzania oooyeee
    ndugu mwenyekiti asante sana kwa msada wa kuwarusha mashujaa wetu

    DEO
    Ilinoi.

    ReplyDelete
  5. komaeni watanzani mambo mnayaweza.

    ReplyDelete