Mwenyekiti a CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya chipukizi wa CCM muda mfupi baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee ambapo aliongoza kikao cha Halmashauri kuu ya taifa ya CCM (NEC). Mwenyekiti wa CCm Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Zanzibar Amani Abeid Karume na Katibu mkuu wa CCM Bwana Yusuf Makamba wakiingia katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam tayari kuanza kwa kikao cha Halmashauri kuu ya taifa ya CCM (NEC).
Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM NEC wakiwa katika kikao chao leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo.
U.S.A.
Contact
Welcome to the blog of CCM members living in the State of Texas in the United States of America. If you'd like more information about CCM, please contact us at ccmtexas12@gmail.com. We welcome suggestions and comments. If you'd like to become a member, email us and we'll assist you as quickly as possible.
What's the most pressing issue for Tanzanians abroad?
No comments:
Post a Comment