Mkutano wa kwanza wa jumuia za kiislamu umefunguliwa leo na waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo bwana Wolfgang Schauble. Mkutano huo unalengo la kujadili mambo mbalimbali yanayowahusu waislamu ambao wengi wao wanaamini hawajapata uwakilishi wa kutosha katika mabo kadhaa nchi ujerumani.Saturday, June 27, 2009
MKUTANO WA KWANZA WA KIISLAMU WAFUNGULIWA UJERUMANI
Mkutano wa kwanza wa jumuia za kiislamu umefunguliwa leo na waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo bwana Wolfgang Schauble. Mkutano huo unalengo la kujadili mambo mbalimbali yanayowahusu waislamu ambao wengi wao wanaamini hawajapata uwakilishi wa kutosha katika mabo kadhaa nchi ujerumani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment