Friday, December 19, 2008

Rais JK Kikwete akisalimiana na waziri mkuu Mh. Mizengo pinda jana mara baada ya kurejea toka msumbiji alikokwenda kwa ziara ya siku mbili, kulia kwa Mh. Pinda ni makamu wa rais Dr. shein na anayefuata baada ya Dr. shein ni Tanzania first lady mama Salma Kikwete.

Ndejembi Michael.

1 comment:

Anonymous said...

Mzee karibu sana nyumbani kwako, watanzania wote hawajambo na wameaidi kushirikiana na wewe katika kuilinda nchi yetu. Ndio anvyoonekana Mheshimiwa Pinda kumweleza rais wetu.