
Picha ya pamoja ya Wanachama wa Tawi na Viongozi wao

Katibu akimkabidhi kadi mwanachama mpya.

Katibu wa Muda wa Itikadi na Uenezi akitoa nasaha zake

Katibu mkuu wa Muda akitoa kadi kwa mwanachama mpya

Viongozi wa Muda wa TAwi na Viongozi wa Shina no 1 Houston

Katibu wa Tawi wa Muda akimpongeza Mwenyekiti wa shina no 1 Houston Cassias Pambamaji mara tu baada ya ufunguzi wa shina hilo katika sherehe hizo

Da Zainab pia alikuwepo

Hongera mwanachama mpya

Hongera sana kwa kujiunga na CCM

Uongozi wa Shina na Tawi

Tuko Juu!

Juu zaidi!

CCM Oyee!

OYeee!

Mwenyekiti wa muda wa Tawi Novatus Simba akimpongeza mwanachama mpya mara baada ya kuchukua kadi yake

Kaka Juma Maswanya pia alikuwepo

Wanachama wakiwa na sura za Furaha

Ilikuwa ni furaha tupu

Hongera saaana!

Mwanachama mpya na Viongozi wa Muda

Maswanya,Simba, Kitogo

Secky Adadi akichukua kadi kwa furaha tele

Kila mtu alikuwa happy!

Chacha Mussa Akipokea kadi yake

Hongera LBT!

Da zainab akiwa mwenye furaha tele

Katibu akitoa kadi kwa mwanachama mpya huku viongozi wengine wakiangalia

Green and Yellow!

Karibu sana kundini!
2 comments:
Kazi nzuri sana vijana, hii inatupa moya hata sisi CCm wengine huku USA tuanze kuchukua kadi.
OMMY
DC
HIZO CARD SHILLING NGAPI JAMANI BECAUSE I REALLY NEED ONE.
Post a Comment