Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono wananchi mbalimbali waliojitokeza kwenye maadhimisho ya miaka 46 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam ambapo wakazi mbalimbali walijitokeza katika sherehe hizo, kulia ni mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange. Viongozi wa vyama mbalimbali pamoja na maafisa kutoka serikalini nao walikuwepo katika maadhimisho hayo.
Wageni waalikwa mbalimbali na mabalozi wakifuatilia kwa karibu kila kilichokuwa kikendelea kwenye uwanja wa Uhuru leo jijini Dar es salaam.
Wanafunzi wa shule mbalimbali jijini Dar es salaam wakicheza halaiki wakati wa maadhimisho ya miaka 46 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Uhuru leo.
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo.
U.S.A.
Contact
Welcome to the blog of CCM members living in the State of Texas in the United States of America. If you'd like more information about CCM, please contact us at ccmtexas12@gmail.com. We welcome suggestions and comments. If you'd like to become a member, email us and we'll assist you as quickly as possible.
What's the most pressing issue for Tanzanians abroad?
No comments:
Post a Comment