Wasafiri wakiwa katika stesheni ya Kigoma wakisubuli usafiri wafanyakazi wamegoma hadi wapewe malipo yao na kampuni mpya ya kuendesha shirika hilo.Treni ya abiria ya kwenda Mwanza, Kigoma na Mpanda ikiwa imesimama katika stesheni ya Salanda mkoani Singida ili abiria wajipatie chakula juzi. Treni hiyo iliingia mkoani Kigoma jana baada ya madereva wake kuwa na mgomo katika vituo vya njiani mara kwa mara. Jamani wafanyakazi wa Reli ya kati wanananyanyasika sana kwa kuchelewaeshewa malipo yao ya mishahara. hadi wamefikia uamuzi wa kugoma kushinikiza walipwe stahili zao Baadhi ya abiria waliokuwa wakisafiri kuelekea Kigoma na Mwanza wakiwa wamezonga stesheni ya Manyoni baada ya dereva wa treni kugoma wakati walipofika eneo hilo wakidai kuwa hadi shirika hilo liwalipe mshahara wa mwezi wa November. Huku hakuna magari ya kutoa upepo kama vile mgoma wa Dar.
vurugu kwenda mbele.
Abiria wakiwa ndani ya mabehewa wakisubiri hatima yao ya safari yao.
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo.
U.S.A.
Contact
Welcome to the blog of CCM members living in the State of Texas in the United States of America. If you'd like more information about CCM, please contact us at ccmtexas12@gmail.com. We welcome suggestions and comments. If you'd like to become a member, email us and we'll assist you as quickly as possible.
What's the most pressing issue for Tanzanians abroad?
No comments:
Post a Comment