
Rais Kikwete na waziri mkuu wa Jamaica Mhe. Bruce Golding wakisaini makubaliano ya ushirikiano yaliyofikiwa baina ya serikali ya nchi yaTanzania na nchi ya Jamaica katika siku ya mwisho ya ziara ya siku nne ya kiserikali nchini humo

Rais Kikwete akiagana na Gavana Jenerali wa nchi ya Jamaica Mhe. Patrick Allen katika uwanja wa ndege wa Norman Manley mjini Kingston Jamaica wakati wa kuitimisha ziara yake nchini humo

Rais Jakaya Kikwete na waziri mkuu wa nchi ya Jamaica mheshimiwa Bruce Golding wakibadilishana hati baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano yaliyofikiwa baina ya serikali ya tanzania na jamaica
Msomaji
No comments:
Post a Comment