Friday, November 13, 2009
MAHUJAJI WAKWAMA TENA DAR.
Mahujaji wapatao 35 wamekwama katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere baada ya kukosa tiketi za kusafiria. Mahujaji hao walikuwa waondoke kwa ndege ya shirika la ndege la Yemen.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment