skip to main |
skip to sidebar
WAZIRI MAGEMBE ALIPOTANGAZA WALIOFAURU KUINGIA KIDATO CHA TANO 2009
Waziri wa Elimu na Mafunzo Prof. Jumanne Maghembe (katikati) akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo wakati akitangaza matokeo ya uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia kidato cha tano na katika vyuo vya ufundi kwa mwaka wa masomo 2009. Kushoto ni Kaimu Kamishina wa Elimu Leonard Musaroche na kulia ni Msaidizi wa Waziri Alfred Kilasi. MsomajiDar es salaam
No comments:
Post a Comment