Wednesday, April 29, 2009

MARAIS WA AFRIKA MASHARIKI WAZINDUA UJENZI WA BARABARA YA ARUSHA NAMANGA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na marais Mwai Kibaki wa Kenya na Paul Kagame wa Rwanda jana jioni walizindua ujenzi wa barabara ya Arusha Namanga inayoitwa Anthi River Road huko Lengijabe Pembezoni mwa Jiji la Arusha, mara itakapokamilika barabara hiyo itakuwa ni ukombozi kwa wananchi wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki hivyo kupunkwa kiwango kikubwa tatizo la mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki

Msomaji
Arusha

4 comments:

  1. hili ni jambo jema sana kwa ustawi wa jumuia yetu. waambieni tunataka jumuia imara

    manka.

    ReplyDelete
  2. saafi saaana, mambo yote Arusha bwana.

    ReplyDelete
  3. mambo wana ccm. tunashukuru kwa sinema lini mtakuja tena

    ReplyDelete
  4. ndejembi tunataka sura ibandikwe ktk mtandao, mbona unaificha ficha?

    ReplyDelete