Thursday, April 16, 2009
BAADHI YA TIMU ZA MIKOA ZILIZOSHIRIKI MICHUANO YA NETI BOLI MWAKA HUU
Hii ndio timu ya Arusha.
Hawa ndio wa Dom kule bungeni.
Japokuwa ni wachache lakini ndio wawakilishi wa Kinondoni
Temeke pia walikuwepo
Wanatoka mji kasoro bahari (Moro).
Hawa ni wa Pwani lakini wamekosa "Raha".
Twaja leo twarudi leo nao hawakuachwa nyuma.
Msomaji,
Dar es salaam
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment