Sunday, February 15, 2009

NDUGU WANAJUMUIA
UONGOZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
TAWI LA MAREKANI
UMEPOKEA KWA MASIKITIKO MAKUBWA KIFO CHA MAMA MZAZI
WA MIRAJI MALEWA KILICHOTOKEA MAPEMA IJUMAA
NYUMBANI TANZANIA.
UONGOZI, KWA NIABA YA WANACHAMA UNAPENDA KUUNGANA
NA WATANZANIA KATIKA KUMFARIJI NDUGU YETU
BWANA MIRAJI MALEWA AMBAYE PIA NI KATIBU MKUU WA
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)- MAREKANI.
UONGOZI UNATAMBUA KWAMBA HIKI NI KIPINDI KIGUMU
SANA KWAKE NA FAMILIA YAKE NA HIVYO UNATOA POLE NA
MWITO KWA WANACHAMA KUMFARIJI
KWA HALI NA MALI BWANA MIRAJI NA FAMILIA YAKE.
KUWASILIANA NA MIRAJI:
832 741 4452 cell phone
281 575 6887 home phone
KATIBU MWENEZI BI. ZAINAB JANGUO
ATAPOKEA NA KUWASILISHA
SALAMU ZA RAMBI RAMBI KWA NIABA
YA CHAMA.
KUWASILIANA NA ZAINAB
JANGUO: 832 206 6277 cell phone.
michael ndejembi
M/kiti.

14 comments:

  1. Pole sana Ndugu miraji. Nakutakia uvumilivu mwema hasa katika kipindi hiki kigumu

    Amen

    ReplyDelete
  2. Wanajumuhia naomba tumfariji mtanzania mwenzetu ndugu Miraji ambaye amekuwa akijitolea sana hasa katika mambo yanayotugusa sisi watanzania wote tunaoishi hapa houstoni.

    Pole sana ndugu Miraji

    ReplyDelete
  3. Nimepeokea taharifa hizi kwa masikitiko makubwa. Sisi tuliopo Dallas tunaungana na watanzania wenzetu katika kumfariji Ndugu Malewa katika kipindi hiki kigumu

    Mungu alito na mungu atachukua

    ReplyDelete
  4. Familia ya ndugu miraji poleni sana. Mungu awe nanyi wakati huu mgumu, na awasaidie kwenye mipango yote ya msimba mpaka mtakapomalizika.


    Pole sana Ndugu miraji

    ReplyDelete
  5. Bwana ametoa, bwana amechukua, tunamuombea mama yako miraji apumzike kwa amani.

    ReplyDelete
  6. Rest in peace mother, we will truly miss you.

    Amen

    ReplyDelete
  7. Rest IN Peace. Amen

    Shaban.

    ReplyDelete
  8. Nimepoke tahari hizi kwa mshangao kupitia kwa rafiki yangu. Miraji sijui kama unanikumbuka (Jonas, ubarozini France)

    Nakupa pole sana

    ReplyDelete
  9. Pole sana bwana Miraji kw msiba uliokupata

    ReplyDelete
  10. Ndugu Miraji, tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya msiba wa mama yako mzazi, sisi watanzania na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la London UK tunakutakia uvumilivu mwema na mungu akubariki, Mungu ailaze roho ya mama yetu mahali pema peponi.Mdau Reading UK

    ReplyDelete
  11. POLE SANA NDUGU MIRAJI KWA KUFIWA NA MAMA YAKO

    AMENI

    ReplyDelete
  12. POLE SANA NDUGU MIRAJI KWA KUFIWA NA MAMA YAKO

    AMENI

    ReplyDelete
  13. Ndugu miraji, nakutakia uvumilivu katika kipindi hiki kigumu

    Mungu amlaze mahali pema peponi mama yetu mpendwa aliyetutoka.

    ReplyDelete
  14. Pole sana kaka Miraji na familia nzima kwa msiba huu.
    Steve,H-town

    ReplyDelete