Monday, February 16, 2009

MISSOURI:
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
SHINA LA MISSOURI
KINATOA POLE NYINGI KWA MH. MIRAJI MALEWA
KWA KUONDOKEWA NA MAMA YAKE MZAZI
HIVI KARIBUNI.
SISI KAMA CHAMA NA WATANZANIA WENZAKO
TUNAKUPA POLE NYINGI
WEWE NA FAMILIA YAKO NA TUNAWAOMBEA MUWE NA
UVUMILIVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU. TUNAELEWA
YALITOKEA NI MAPENZI YA MUNGU NA NI YEYE
NDIYE ATAKAYEKUONGOZA KATIKA UVUMILIVU HUO,
ILI HATIMAYE
UREJEE UKIWA TAYARI KUONGOZA FAMILIA YAKO NA CHAMA NA
WEWE UKIWA KAMA KATIBU MKUU WA TAWI LETU HAPA MAREKANI.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWA JINA LAKE LIHIDIMIWE.
DEOGRATIAS RUTABANA
M/KITI
CCM-SHINA LA MISSOURI.

4 comments:

  1. Pole sana kwa msiba mzito ndugu miraji

    John
    Kansas City,MO

    ReplyDelete
  2. Jaman pole sana Miraji, mungu akupe nguvu za kuhimili msiba huu.

    Amen

    ReplyDelete
  3. Pole sana ndugu miraji kwa msiba huu mzito uliokupata

    Maria
    Missouri

    ReplyDelete
  4. Pole sana ndugu miraji kwa huu msiba mzito uliokupata.

    JOSEPH

    ReplyDelete