Kulia ni Atamus Liyumba akiwa na mtuhumiwa mwenzake Deogratius Kweka wakati wanaingia Mahakama ya Kisutu leo.
Bwana Lyumba akijipanga kujibu mashambulizi baada ya kulejea katika kinyang'anyilo Bw. Liyumba akiulizia sehemu ya kukaa.
Ilikuwa inasemekana kuwa Bw Liyumba amekimba lakini leo ndio ukweli ulikuwaujulikane kama amekimbia kweli au la. Bw Liyumba kinyume na matarajio ya wengi alikuja Kortini kama alivyopangiwa nakuwaacha watu wengi midomo wazi
Tanzania kweli nchi ya ajabu, huyu jamaa ameiba pesa za walipa kodi baadhi yao hata mlo wa siku ni shida,yeye akawa anagawa magari ya rangi ya simba huku hata viongozi wetu wa usalama wakiwa wamelala. Maana chi za wenzetu ukiweka dola elfu kumi tu, serikali yote na vyombo vyake vya usalama vinaanza kukufuatilia kama hizo pesa ni za halali na utawaeleza uhalali wake kuanzia A-Z,ukishindwa mali zote ni zao,yaani zinataifishwa na kuwa mali za serikali.
He seems to be confident of what he is doing.
ReplyDeleteLiyumba shine in the court with confident. It was unbelivable the way he appered with confident.
ReplyDeleteChanga ya macho, utasikia kafia gerezani na mwili wake umepelekwa marekani kwa uchunguzi
ReplyDeleteSirikali
Tanzania kweli nchi ya ajabu, huyu jamaa ameiba pesa za walipa kodi baadhi yao hata mlo wa siku ni shida,yeye akawa anagawa magari ya rangi ya simba huku hata viongozi wetu wa usalama wakiwa wamelala.
ReplyDeleteMaana chi za wenzetu ukiweka dola elfu kumi tu, serikali yote na vyombo vyake vya usalama vinaanza kukufuatilia kama hizo pesa ni za halali na utawaeleza uhalali wake kuanzia A-Z,ukishindwa mali zote ni zao,yaani zinataifishwa na kuwa mali za serikali.