Thursday, February 5, 2009

CHAMA CHA MAPINDUZI
TAWI LA MAREKANI
Linapenda kuwakaribisha Wanachama,
Wakereketwa na Watanzania wote popote pale mlipo
katika sherehe za kuadhimisha miaka Thelathini na Mbili ya
kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Zitakazofanyika Houston - Texas,
siku ya Jumamosi tarehe 07 mwezi wa 02 saa Mbili kamili usiku,
katika ukumbi wa Safari.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na;
Zainab Janguo: 832 206 6277
Miraji Malewa: 832 741 4452
Michael Ndejembi. 713 384 4567.
Wote mnakaribishwa: Vinywaji, Vyakula na muziki bure!
Zainab Janguo,
Katibu Mwenezi,
CCM-Marekani.

31 comments:

  1. Kazi nzuri sana wana ccm wa marekani. Pia nimependa sana mtandao wenu.

    ReplyDelete
  2. Je siku ya sherehe mtagawa kadi za uanachama?. Nitakuja kushereeka pamoja na wenzangua lakini itakuwa vizuri kama wataweza kupatiwa kadi siku hiyo.

    Masha

    ReplyDelete
  3. Nyie ccm nchini marekani mmenifuraisha sana lakini napenda kuwauliza ccm ilizaliwa lini?

    ReplyDelete
  4. The CCM is all about focusing on economic modernization as a way of empowering the citizens of Tanzania.

    Mzee wa mambo

    ReplyDelete
  5. The CCM is all about focusing on economic modernization as a way of empowering the citizens of Tanzania.

    Mzee wa mambo

    ReplyDelete
  6. The CCM hopes to continue to privatize and modernize in order to ensure all tanzanians are in good hands and safe;


    Martin

    ReplyDelete
  7. CCM main goal is to improved and strength the private and public sector, serving as the engine of the national economy while the government sharpens its focus on provision of social services, infrastructure, security and governance of the state.

    This is what's up !!!!

    Go ccm marekani and your the best in the planet. I can't wait to be a member

    Choka
    Alabama

    ReplyDelete
  8. Hakika sijui chama chochote cha chini kwa chini ambacho hakikudai kuwa cha mlengo wa kushoto na kuunga mkono harakati za ufisadi.

    CCM ongoza daima, maana hawa watu wa upinzani wote wanaonekana majungu, pia tukiwapatia nafasi watatumia pesa nyingi katika kujiimalisha wakati nyie ccm hayo mambo mlisha yamaliza.

    je ni kwanini nchi tajili zinakuwa na vyama vichache vya siasa?

    Musa
    Alaska

    ReplyDelete
  9. Kwa kisingizio cha kuongeza uzalishaji mali, mali ya binafsi ikaruhusiwa na watu binafsi waliokuwa na uhusiano na uongozi wakaruhusiwa kufanya biashara na kuajiri wafanyakazi, huu ndio usemi unaotumiwa na viongozi wa vyama vya upinzani. Lakini sielewi malengho yao ni nini?

    Dr.Pius
    Arizona University
    U S A

    ReplyDelete
  10. Chama cha siasa lazima kiwe chama cha siasa kwa maneno na kwa vitendo kama anavyofanya kiongozi mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dr.Jk.

    jk u'r the men !!!!!

    CMM MAREKANI MMENIKUNA SANA KWA HUU MTANDAO

    Aailyah
    California

    ReplyDelete
  11. This is what CCM stand for:
    1.) Increased productivity which would boost the country's revenue
    2.) Increased employment and improved management
    3.) Acquisition of new and modern technology
    4.) Increased and expanded local and international markets for our products,


    Abasi
    District of Columbia
    Marekani

    ReplyDelete
  12. National elections were held on 14 December 2005. CCM's Jakaya Kikwete won 80.28% of the vote. Out of the 232 National Assembly seats filled through direct election, the CCM won 206. I can't believe this. Jk your your a guy of the people and your proving it.

    Kyoma
    New Mexico

    ReplyDelete
  13. It has dominated the politics of Tanzania since independence, and first allowed multiparty elections in 1995, which its candidate Benjamin Mkapa won. He was re-elected in 2000 with 71.7% of the vote. In the National Assembly of Tanzania, the party holds 244 of 275 seats. Tanzanias president and National Assembly members are elected concurrently by direct popular vote for 5-year terms. ...

    CCM ndio siri ya mafanikio. Kwanza inaruhusu haki pili inanguvu.

    this is what's up !!!!. I solute you ccm marekani for the magic work

    Ambilikile
    North Carolina
    United States of America

    ReplyDelete
  14. Similarly, the CCM's major foreign policy focus is economic diplomacy within the international system, and peaceful coexistence with neighbors. We tanzanians abroad appriciate ccm for the opportunity yo are giving us


    Mwanaidi
    Oregon
    US

    ReplyDelete
  15. Similarly, the CCM's major foreign policy focus is economic diplomacy within the international system, and peaceful coexistence with neighbors. We tanzanians abroad appriciate ccm for the opportunity yo are giving us


    Mwanaidi
    Oregon
    US

    ReplyDelete
  16. CCM nyie mambo yenu mengi mnatumia sana nguvu. Sisi tumekuja huku kutafuta baada ya mambo kuwa magumu huko tanzania sasa bado mnatufaTA huku, hatuwataki. Siasa zenu baki nazo huko sisi ndio tumeishamaliza.....


    Manka
    DC

    ReplyDelete
  17. Wewe manka ujui unalosema. Sasa wewe ulipoondoka kwenu ndugu zako wote ukasaau?, hata ukijifanya mmarekani ukweli ni kwamba nyumbani kwenu ni huko kibosho moshi. CCM tunawashukuru kutukumbuka sisi tuliopo nje ya nchi.

    Tunafaamu kunawapuuzi wachache maisha yamewashinda basi kila kitu kilicholengwa kuwasaidia wenzao wao wanakipiga vita.

    Kazi nzuri sana viongozi wa ccm marekani

    mchangiaji

    ReplyDelete
  18. CCM has won all elections, presidential and legislative, held both in Tanzania at state level and in Zanzibar at autonomous level under the multi-party system: 1995, 2000 and 2005.

    Now we know that ccm is the only solution in political battle of our country.....

    JK + CCM = SOLUTION

    ReplyDelete
  19. Also don't forget that ccm has done a good job on its willingness to further strengthen its friendly and cooperative relationship with all Tanzania's abroad for the benefits of the country and the peoples.

    ReplyDelete
  20. "The tanzania abroad and the CCM enjoy long-standing friendly ties of cooperation" and us we are convinced that the new type of relations of exchange and cooperation will be further cemented in the new century through ...

    CCM marekani kweli kiboko. Rafiki yangu kanipatia huu mtandao wenu. Mmenifuraisha sana, mambo yenu si mchezo. Jitahidi kuwafaamisheni watanzania hili nao wapate nafasi ya kuchangia

    Matias
    Georgia

    ReplyDelete
  21. Tanzania ruling party (ccm) is now in a position to fully implement and pursue its polices as it has won the parliamentary election,

    "My party will now... fully implement our policies without hindrance as the opposition parties was sabotaging the nation in order to cast the blame on the ruling party (ccm)

    Kidumu chama cha mapinduzi
    Mwanachama wa kudumu
    Iowa
    America

    ReplyDelete
  22. CCM hamna hata moja. Uchaguzi unaokuja hamtashinda. Mimi nimekwenda tanzania mawaka jana lakini mabadiliko ni kidogo sio kama nilivyotegemea.

    Maria
    Indiana

    ReplyDelete
  23. waambie hao sio tu wanabakia kujisifia na majivuno mengi. Kitu kimoja ambacho nimefuraishwa nacho ni kwamba rais wetu anajitahidi sana lakini ushirikiano anaoupata kutoka kwetu ni mdogo ukilinganisha na majungu

    ReplyDelete
  24. Maria, I don't know whether you have ever discussed the the problem of tanzania such as the poverty one hardly described here:.
    CCM says little about it, but enough to know this party is strong enough to shape your country. I am not sure if you follow my point because it seems you know nothing of what your tolkin about

    Mwanachama Chadema
    Kentucky
    U S A

    ReplyDelete
  25. Incumbent president and CCM candidate of zanzibar Amani Abeid Karume also won with 53.18% of the vote. This means ccm is the true leding party of tanzania.

    Nawatakia sherehe njema wana ccm wote popote pale mlipo. Pia pongezi zangu za zati ziwaendee viongozi wote wa ccm marekani kwa shughuli yenu nzuri katika kulijenga taifa letu

    Christina
    Missouri,Kansas

    ReplyDelete
  26. The flag of CCM has a plain green field with the emblem of the party, a crossed hammer and hoe, in yellow in the canton. These means go green for the good people.

    Happy Birthday CCM and all good people


    Mtumwa
    Louisiana
    United states of america

    ReplyDelete
  27. 2009 is the 34th Anniversary of the most famous political party in tanzania CCM and founder of the theory of levolution. It is also the 4th anniversary of the most famous preisident in Afrika Dr. Kikwete, who true work for his people.

    Happy birthday CCM

    Masha
    Minnesota
    U S A

    ReplyDelete
  28. Nawatakia kila la kheri katika kushereekea kuzaliwa kwa chukua chako mapema(ccm)

    Mwana chama mkereketwa
    Upendo
    West Virginia

    ReplyDelete
  29. Chama Cha Mapinduzi (The Revolutionary Party of Tanzania) was formed in 1977 following the merger of the Tanganyika African National Union (TANU) and the Afro-Shirzai Party of Zanzibar.

    HAPPY BIRTHDAY CHAMA CHA MAPINDUZI

    Mocha
    Wyoming
    USA

    ReplyDelete
  30. Sherehe na mafanikio mema katika shughuli za utendaji wa kazi zenu

    Nitawasiliana nanyi kwa njia ya mtadao hili nijiunge na chama.

    Joyce
    Cleveland, Ohio

    ReplyDelete
  31. Nimependa sana juhudi zenu wana ccm, lakini swali langu kwenu ni;

    Je nikijiunga na ccm hapa marekani nitafaidika vipi na kujiunga kwangu?

    Martin Jacob
    Colorado Springs, Colo.

    ReplyDelete