Wednesday, January 14, 2009

January 2009 gas price per gallon in Kansas City, Missouri

The price of gasoline futures, which are a rough guide to where regional wholesale gas will be priced, was down as well to 11-cents per gallon at the exchange's closing time. One (US) gallon = 4.54609 liters (UK).

Ndejembi Michael.

5 comments:

  1. Esabu za chap chap ni kwamba marekani wananunua mafuta kwa shilingi 374 za kitanzania kwa litta moja, sisi hapa tunauziwa kwa zaidi ya shilingi elfu moja.

    Hii kweli kali

    ccm marekani tunawashukuru kutufungua macho

    ReplyDelete
  2. marekani uchumi wa nchi ni mzuri bei ya mafuta shilingi 374 kwa lita moja, tanzania uchumi ni mbaya lakini bei ya mafuta shilingi 1300 kwa lita moja.

    Mnaionaje hii ndugu zangu

    Hassan Mgosi
    Tanga

    ReplyDelete
  3. Hii mathematics haikai kabisa kichwani mwangu

    ReplyDelete
  4. Kweli bongo tunaliwa. Jk kazi unayo kweli kweli maana mambo yakushulikia ni mengi.

    Swali ninalojiuliza ni kwanini kampuni muhimu za kuagiza mafuta wanakabiziwa wahindi?

    Hawa watu wanatuzalau na pia wana roho mbaya lakini bado tunawakabizi sekta muhimu kama hii

    ReplyDelete
  5. Inabidi tufaamu kuwa tatizo la rushwa tanzania linatokana na watanzania sisi wenyewe. Utamaduni wetu umeshajengeka katika mazingila ya rushwa. mfano rais wetu anania nzuri sana katika kupambana na rushwa lakini watu anaofanya nao kazi au kuwapatia kazi ndio wala rushwa.

    Jibu:

    Tafuta watanzania wanaoishi nje ya nchi wapatie kazi na wao kama kawaida watafanya kazi na rafiki zao ambao utamaduni wao ni tofauti, hawajazulika na rushwa.

    ReplyDelete