Friday, January 16, 2009

Salamu kutoka dar es salaam

Hivi ndivyo lilivyoonekana jiji la dar-nyakati za mchana mwaka jana. Picha hizi tumetumiwa na msomaji wetu kutoka jijini dar-es-salaam. Ukitaka kuona vizuri bonyeza kwenye picha.
(Ahsante sana msomaji wetu kwa salamu na picha hizi)

14 comments:

  1. Mambo ya miundo mbinu hayo. Je kifanyike nini kukabiliana na msongamano kama huu?

    Matiku

    Magomeni

    ReplyDelete
  2. Mambo ya Benzi, mwenye nalo fisadi au ?

    ReplyDelete
  3. Mambo ya Benzi, mwenye nalo fisadi au ?

    ReplyDelete
  4. Misongamano tanzania ni kuanzia kwenye mabebki barabarani na kwingineko.

    ReplyDelete
  5. Bongo magari ya kumwaga. Wabeba maksi mpo?. Rudi kwenu mambo ndio kama unavyoona.

    ccm walete hao!!!!!

    ReplyDelete
  6. ccmmarekani asanteni sana kwa kazi nzuri, tanzania inawahitaji watanzania walioko nje-hili ni moja pili, wanzania wenye moyo kwani si wote walioko nje ni wenye moyo.
    mchango wao unahitajika kwani nchi zote zilizoendelea zimetumia wataalam wa nje na wandani katika kufanikisha mambo mbali mbali.

    george
    university of houston
    htown
    usa

    ReplyDelete
  7. tanzania sijui kuna mdudu gani hembu msongamano wa magari! kuna haja kubwa kwa viongozi kuwa na kawaida ya kukubali juu ya uwezo wao kiutendaji. tatizo la bara bara halikuanza leo, nakumbuka miaka michache tulikuwa na tatizo kama hili wakati alikuwepo bwana mmoja anaitwa mwaibula sijui yuko nadhani majungu yamemtoa. huyu aliimudu sana wakati huo, sasa tatizo bado lipo kwanini wahusika wasimwite awashauri? kubalini hamjui kazi ili msaidiwe msisubili kikwete awafukuze.

    leonard
    france

    ReplyDelete
  8. hawa jamaa ni wabishi tu kazi imewashinda sijui wanasubiri nini, tatizo tanzania watu hawakubali juu ya uwezo wao labda ni kwa kuwa hakuna ajira nyingine ndio maana.

    hassan
    dodoma
    tanzania

    ReplyDelete
  9. kwa mwendo huu kazi sana kufika, ndejembi nyinyi mko huku marekan mnayaona haya, kwanza nakushuru kwamba unakumbuka nyumbani ndio maana unajishughulisha kwa haya. naamini uwepo wako hapa marekani unajifunza mengi na nina imani serikali inaona jitihada zako na watakupa nafasi kwani mimi na wenznagu wote wapenda maendeleo ya tanzania hatuna shaka na uwezo wako, lakini naomba kukumbusha kwamba ujue kuwajibika na kuwawajibisha walio chini pindi inapolazimu kufanya hivyo.

    pro. lyoba
    clarward university
    Illinoi

    ndejembi tafadhali nitafute ninaushauri kwako nimependa sana jitihada zako, jitahidi sana mungu takusaidia

    ReplyDelete
  10. tunahitaji watanzania wenye moyo ili tanzania iendelee ndio maana mtu yeyote mwenye busara lazima ataanza kwa kuwapongeza ccm marekani, tunao watanzania wengi nje ya nchi wanafanya nini kkuisaidia nchi? ni majungu tu na kana kwamba haitoshi ni mabingwa wa kukosoa tena bila woga, na wengine eti hujiita wakimbizi kisa utawala mbovu umewakimbiza. hii ni aibu sana kwa watanzania kwani shule mmekwenda kufanya nini kama hamtasaidiana na serikali katika kutatua matatizo yanayoikabili nchi?


    sheby
    London
    uk

    ReplyDelete
  11. bado kitambo kidogo tu tutafika ila lazima hawa mafisadi lazima waondoke kwa ghalama yoyote, asante kikwete kwa kujitoa mhanga na ccm marekani najua wapo pamoja nawe.
    nadhani uwajibikaji ndio sifa pekee katiak maendeleo ya taifa lolote kama alivyowahi kusema bwana michael ktk moja ya matoleo yake.

    alvin mwaipopo

    china

    ReplyDelete
  12. endeleeni wana ccm kufanya kazi, kwa kweli mna jitahidi sana. hivi chama kule tanzania kina wasaidiaje au ndo kama kawa wao kama hakuna ten percent hawatii timu?

    ramadhani
    philadephia

    ReplyDelete
  13. jamani kaka ndejembi hongera sana! naomba kujua namna nitakavyopata kadi nimekutumia email yangu ktka email yenu ya ccmmarekani.
    kaka jitahidi sana tunakufurahia kwa jitihada zako

    julian
    pennsyvania

    ReplyDelete