Thursday, January 8, 2009

Mwenyekiti mpya wa UWT Mama Sophia Simba akisoma risala ya shukrani kwa wajumbe waliohudhuria na kupiga kura zilizompa ushindi katika mkutano wa jumuiya hiyo uliofanyika mjini Dodoma. Sophia Simba pia ni waziri ofisi ya rais anayeshughulikia utawala bora.

Ndejembi Michael.

6 comments:

  1. nampongeza mama sophia simba na pia nampongeza yule mama nanihii aliyepata kula kumi, huyu anastahili pongezi nyingi kwani kushindwa kwake ni stage nzuri ya kujifunza.mwenyekiti sijaona salam zenu kwa mama simba.

    idrisah
    migombani
    zanzibar

    ReplyDelete
  2. kijana ndejembi nakushukuru kwa mtazamo wako wa kusaidia mambo ya tanzania.
    niko marekani kitambo na sijawaona vijana wa kitanzania wakifanya mambo kama haya na kwako naona ni hatua kubwa sana, naomba viongozi wa chama kukusaidia pale utakapokuwa unahitaji.

    Dr.ishengoma
    Maryland university
    Maryland

    ReplyDelete
  3. watanzania sasa wanamka na ninawaomba kutokuwa wabishi na kuwakubali viongozi chipukizi kama hawa kina ndejembi ambao wanajua wanachofanya na wanao uwezo pia.
    ndejembi endelea na moyo huo wa kuisaia nchi kadri ya uwezo wako.

    Ibra
    Toronto
    Canada.

    ReplyDelete
  4. hongereni wana ccm

    ReplyDelete
  5. Mama sasa mambo ndio kwanza yameanza. Inabidi uwaonyeshe wanachama kuwa waliokuchagua hawakukosea.

    Mduma

    kimara

    ReplyDelete
  6. Binafsi nampongeza mama Sophia Simba kwa juhudi zake hadi kuweza kuchaguliwa kuwa M/K wa UWT.

    All the best Mh. Mama Sophia simba na siku zote usikubali kuyumbishwa na majungu ya wasiopenda mabadiliko.

    Ni mimi mama Mtanzania mwenzio.

    NB:
    Dr. Ishengoma,
    Uko MD Univ. ipi maana nami nasoma hapo, Campus ya college Park Kama uko hapo tafadhali piga simu idara ya JPSM na ulizia niko mtanzania peke yangu, na acha ujumbe wa mawasiliano nitakutafuta.

    ReplyDelete