Picha hii imepigwa leo usiku na msomaji wetu kutoka Hong Kong. Ukitaka kuona vizuri bonyeza kwenye picha. (Ahsante sana msomaji wetu kwa salamu na picha hii)
Hawa ccmmarekani wapo tu marekani na wala sio mpaka huko hong kong wasikudanganye sema tu huyu kawatumia hizi picha basi nao kwa sifa wakaibandika. Sijui mnatumia vigezo gani katia kuchagua kipi kiwekwe na kipi kisiwekwe maana nimewatumia ujumbe wangu na picha lakini hata moja hanjaweka. Hamana hata moja najua hata huu ujumbe wangu hamta uruhusu lakini taharifa nimewafikishia.
kufikia mwaka 3000 bongo nayo itakuwa hivi kwa jinsi mambo yanavyobadilika. Nyie ccm mpo mpaka hong kong au?
ReplyDeleteHawa ccmmarekani wapo tu marekani na wala sio mpaka huko hong kong wasikudanganye sema tu huyu kawatumia hizi picha basi nao kwa sifa wakaibandika. Sijui mnatumia vigezo gani katia kuchagua kipi kiwekwe na kipi kisiwekwe maana nimewatumia ujumbe wangu na picha lakini hata moja hanjaweka. Hamana hata moja najua hata huu ujumbe wangu hamta uruhusu lakini taharifa nimewafikishia.
ReplyDeleteMimi ni msomaji wenu mzuri kwa taharifa yenu.