Saturday, January 17, 2009

Baraka Obama na makamu wake wakiwapungia mikono wananchi kadhaa wakati wakipita katika moja ya vituo vya tren kuelekea washngton.

6 comments:

  1. tunahitaji viongozi kujua kwamba ni wajibu wao tena bila kukumbushwa na yeyote kusimamia na njia zote za usafiri, huduma za jamii, ajira nk kwani huo ndio wajibu wao na ili hayo yaweze kutekelezwa lazima wao wawe watu walio mstari wa mbele katika kututmia njia hizo.

    Remmy
    Maryland university

    ReplyDelete
  2. ningeshauri wana ccm mtutangazie huu mtandao kwenye jumuia mbalimbali hapa malekani kwani wnegi wanataka kujua mambo mbalimbali lakini nyenzo ndio mzozo.

    safina
    chicago
    usa

    ReplyDelete
  3. ccm oyeeeee! keep it up guys.

    jack
    houston
    usa

    ReplyDelete
  4. kumbe hata rais wa marekani hupanda treni!?

    ReplyDelete
  5. saaaaaaaaaaaaafi sana wana ccm marekani, huu ndio wajibu ambao watanzania wote wanapaswa kuufanya lkn isiwe kwa manufaa binafsi

    sebastian
    jamaica

    ReplyDelete
  6. jamaani hii blog imeanza hasa lini nina mambo mengi sana nilitaka kuwashauri kwanza ninyi viongozi wetu wa ccm hapa marekani na pia viongozi wetu kule africa. nawaomba muwe tayari kupokea na kuutekeleza, nitawatumieni punde.

    william
    capital hill
    USA

    ReplyDelete