Thursday, November 12, 2009

WHY VISIT TANZANIA FOR TOURISM

Visit the beautifull Tanzania during your exciting trip. You will explore the serengeti National Park, the highest mountain in Africa kilimanjaro, which is only found in Tanzania, and many more exciting wondersThis is what are these people have to say, a climb of Kilimanjaro is (literally!) one of the world's "top" adventures - a classic you get to check off your list.

Tanzania is the unique destinations on the African continent that has many mirracles. It is a land of many wonders as you can see one on this picture
Michael Ndejembi

13 comments:

  1. CCM HAYA MAMBO KUMBE MNAYAJUA NA MNA WATU WA KUYAFANYA, SASA INAKUWAJE WATU WENGINE NDANI YA CHAMA CHENU WANAKUWA HAWATAKI MAENDELEO YA WENZAO ?. MIMI BINAFSI SI KWAMBA NAWACHUKIA CCM KAMA CHAMA,LAKINI NDANI YA CHAMA CHENU KUNAWATU HAWATAKI MAENDELEO YA WATANZANIA KWA UJUMLA.

    ReplyDelete
  2. Michael safi mno, je hao wabongo wengine walioko nje ya nchi mambo kama haya huwa hawajui au ndio mambo ya ubifsi

    mchangiaji
    Michigan

    ReplyDelete
  3. Tanzania tunaitaji ushirikiano katika kuleta mendeleo ya nchi yetu. sisi tuliopo nje ya nchi tukiwa na msimamo mmoja tutasaidia sana kuleta mabadiliko katika taifa letu. Nawapongeza ccm upande wa marekani kwa mtizamo mlio nao. Haya mambo mliyoyaanzisha yanatugusa sisi watanzania wote, na ukweli ni kwamba maendeleo ya nchi yetu yataletwa na sisi watanzania wenyewe si mtu baki

    Martin
    DC

    ReplyDelete
  4. Total international trade for the third quarter, 2008was valued at TZS.60,061,410 million, an increase of 18.4 percent over the previous quarter and 76.9 percent higher than that of the same quarter last year

    Good job jk, we appreciate your work

    John
    New york

    ReplyDelete
  5. Takwimu zinaonesha kwamba ukuaji wa Pato la Taifa umekua kutoka asiliamia 5.7 mwaka 2000/01 hadi kufikia asilimia 30.8 mwaka 2007/08 huku kiwango cha ukosefu wa ajira kikipungua kutoka asilimia 20.9 mwaka 2000/01 hadi asilimia 25 mwaka 2007/08 kwa tafsiri ya kitaifa.

    Changamoto: Kupungua kwa kiwango cha ukosefu wa ajira utategemea zaidi kukua kwa uchumi

    Dr. Jk tokea amechukua nchi mambo yamezidi kubadilika na hizi takwimu nimezifanya kupitia makampuni binafsi hapa chicago

    Dr. Swale
    CHICAGO UNIVERSITY
    Kazi nzuri sana JK

    ReplyDelete
  6. Ukuaji wa uchumi ndiyo chanzo cha kupungua kwa ukosefu wa kazi mijini pamoja na akina mama wengi mijini kufanya kazi za nyumbani ambazo hazihesabiki kama ni kazi.

    Tukitumia vizuri utalii na watanzania wenyewe tukafanya juhudi za kutangaza nchi yetu kama hawa wenzetu wa ccm nchini marekani ninaamini nchi yetu itaendelea sana

    ReplyDelete
  7. Ndugu wachangiaji naomba kuuliza ofisi ya Takwimu Makao Makuu inapewa muda gani wa kuzipokea na kuzihakiki takwimu zote zinazoletwa kwake?

    ReplyDelete
  8. I would also like to say that the many government officials and representatives of our country abroad to be more active with the latest informtion and views related to this matter of tourism. In particular, i would like to acknowledge the contributions of the ccm marekani, and the all leaders helping them to do such a wonderfull job

    ReplyDelete
  9. I totaly agree with you and the contributions of the ccm marekani is helpfull especially helpful in the
    analysis of development issues not just from our viewpoint, but also from a
    global perspective.

    Nawapongeza sana ndugu watayalishaji wa tovuti hii kwa kazi nzuri mnayoifanya

    Mwanachama chadema
    London

    ReplyDelete
  10. The second group of attractions in this area comprise Kilimanjaro National Park and
    Arusha National Park. These two parks are particularly suited to satisfy those tourists
    who have a special interest in climbing as you can see how much these people are happy

    ReplyDelete
  11. Tanzania is blessed with beautiful beaches, most of which hardly developed for tourism purposes. The North/South Coast encompasses palm fringed beaches reaching from Pangani in the upper northern part via the beaches of Bagamoyo, the islands off shore and south of Dar es Salaam to Mafia Island, Kilwa, Lindi and finally to Msimbati, near the border of Mozambique Mozambique.

    If we use all these opportunity, our country economy will grow faster

    ReplyDelete
  12. Tatizo kubwa la nchi yetu ni viongozi wetu wasiojali watanzania wenzao. Nchi yetu haitakiwi kuwa masikini kwasababu tunavitu vingi vya kutupatia pesa.

    ReplyDelete
  13. Duuu.... hii kari, sasa huyu kiboko alijiweka tayari kupiga picha au?. Safi sanaaaaa

    ReplyDelete