Wednesday, December 17, 2008

UNAMJUA KATIBU WA CCM LONDONI?

Huyu ndie katibu wa CCM Londoni akiwa katika tabasamu booomba! huko England hivi karibuni.

(ansanteni wasomaji wetu kwa picha hii)

5 comments:

  1. Huyu katibu mbona bomba sana. Bwana Ndejembi naomba nipatie namba basi najua unayo mimi nitamtwangia. CCM nimeishajua janja yenu, mnajitahidi kupata watu wote muhimu katika jamii.Poa lakini ujanja kupata

    Joseph hapa--DC, U.S.A

    ReplyDelete
  2. Mungu wangu, hii kitu safi. Du inakuwaje. Je inabidi nijiunge CCM ndio naweza kuongea naye au namna gani?. Nipatie jibu bwana Ndejembi. Mimi nipo UK, pia ninakupongeza kwa juhudi zako, namna hii utatupata sana

    ReplyDelete
  3. CCM mmenikuna kweli kweli. Naomba nipatie hiyo kadi yenu mapema sana iwezekanavyo.

    ReplyDelete
  4. ndejembi hii kitu inakufaa wewe bwana mwenyekiti, au unaonaje? ye katibu londoni na wewe mwenyekiti tena marekani yote si mchezo, beba ngoma hiyo we! we!.

    ReplyDelete
  5. Ukweli ni kwamba wanawake wazuri uwa wana rohoo nzuri sana. CCM kwa kumpata dada kama huyu hamjakosea atawasaidia sana na watanzania wote kwa ujumla.

    mpenda maendeleo

    ReplyDelete