Tuesday, December 16, 2008
SUARA LA UREMBO TANZANIA NI KWAMBA LIMETUSHINDA?
Huyu ndiye mrembo Nasrieem Karim wa Tanzania aliyeiwatuwakirisha huko Afrika ya kusini Jumapili iliyopita, hata hivyo hakufurukuta na kujikuta akishika nafasi zile zileza mwisho.
M/Ndejembi.
1 comment:
Anonymous
December 19, 2008 at 10:23 AM
Je naye atapokewa kwa vishindo uwanja wa ndege ?
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
‹
›
Home
View web version
Je naye atapokewa kwa vishindo uwanja wa ndege ?
ReplyDelete