Monday, December 15, 2008

Rais jakaya kikwete akiwasili nchini msumbiji leo katika ziara ya kikazi ya siku mbili, kushoto ni mwenyeji wake rais wa Msumbiji bwana Armando Guebuza.

2 comments:

  1. Rais Kikwete tunakupongeza kwa juhudi zako katika utendaji.

    ReplyDelete
  2. JK POA . MIMI NAKUAMINIA. NAJUA WABONGO NI WAGUMU KUFANYA NAO KAZI LAKINI KAZA BUTI.

    MWANA CCM

    ReplyDelete