Kuwajibika ni wajibu ikibidi utawajibishwa na hasa ukishindwa kuwajibika, huu ndio utawala wa sheria unaozingatia taratibu za kiutendaji. Mzee mgonja (pichani) aliyekuwa katibu mkuu wizara ya fedha akikumbana na adha ya uwajibishwaji baada ya kufikishwa mahakama ya kisutu leo kujibu tuhuma za kuisababishia serikari hasara ya mabilioni ya pesa.
2 comments:
Anonymous
said...
Nchi yetu ni tajili sana lakini viongozi wetu wenye mawazo mafupi kama huyu bwana ndio wanasababisha matatizo tuliyo nayo. Inabidi tujifunze kutoka kwa wenzetu kuwa mtu anapenda na kuitumikia nchi yake kwa moyo mmoja na sio kuongwa tu na kusaau wananchi wenzake. Mungu mbariki JK kwa kazi nzuri anayofanya.
Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo.
U.S.A.
Contact
Welcome to the blog of CCM members living in the State of Texas in the United States of America. If you'd like more information about CCM, please contact us at ccmtexas12@gmail.com. We welcome suggestions and comments. If you'd like to become a member, email us and we'll assist you as quickly as possible.
What's the most pressing issue for Tanzanians abroad?
2 comments:
Nchi yetu ni tajili sana lakini viongozi wetu wenye mawazo mafupi kama huyu bwana ndio wanasababisha matatizo tuliyo nayo. Inabidi tujifunze kutoka kwa wenzetu kuwa mtu anapenda na kuitumikia nchi yake kwa moyo mmoja na sio kuongwa tu na kusaau wananchi wenzake. Mungu mbariki JK kwa kazi nzuri anayofanya.
Sasa hapa ngoma inachezwa vipi. Naona jamaa anatafakali kwa makini sana lakini ndio hivyo tena. Kweli tanzania mabadiliko yanatokea kwa nguvu
Post a Comment