Tuesday, December 16, 2008

Mkurugenzi mtendaji wa makampuni ya Ipp Media bwana R. Mengi aliyepewa siku saba na waziri Masha kutoa ushahidi kwamba kuna waziri kijana anamletea zegwe. Siku saba zimeshapita nini kitafuata kwa Mh. Mengi?
M/Ndejembi.

3 comments:

  1. Watu kama hawa uwa wanalindwa sana maana mchango wao ni mkubwa katika nchi. Ninasikitika sana ninapo ona mtanzania anamuongelea vibaya mtu kama huyu

    ReplyDelete
  2. Ndejembi, nimependa sana mtizamo wako maana unagusia vitu muhimu sana katika jamii ya watanzania

    Mimi si mwana chama lakini nimependa mambo yaliyomo katika huu mtandao

    ReplyDelete
  3. Huyu ni fisadi anayeleta maendeleo. Mafisadi wa namna hii ndio tunaowaitaji nchini kwetu.

    ReplyDelete