
Rasi wa jamuhuri ya muunganowa Tanzania Mh. JK Kikwete akitunukiwa shahada ya heshima toka chuo kikuu cha Kenyatta kilichopo Nairobi nchini Kenya. Mkuu wa chuo hicho Dr. Harris Mulee ndie aliyemtunuku shahada hiyo katika mahafali ya 25 ya chuo hicho yaliofanyika leo chuoni hapo.
Ndejembi Michael.
Hawa jamaa wanamtambu JK. Kawaokoa sana katika lile janga la kuuana wenyewe kwa wenyewe. JK tunaomba uwe makini nao lakini,maana wanaitaji sana nchi yetu.
ReplyDeleteMwaka huu utazipata sana tu. Hapa nilipo nao wanajiandaa kukupatia nyingine.
ReplyDeleteHii kofia wanayomvalisha JK kuna mtu wetu kaikagua au ?. Siwaamini kabisa hawa jamaa
ReplyDeleteDu,kweli nimekubali Mh.JK ni mmoja kati ya watu wanaotabulika sana katika ulimwengu wetu.
ReplyDeleteThank you so much for what you have done to our country. Wana haki ya kumshukuru maana wangekuwa wameishamalizana kwa kasi na nguvu mpya walioanza nayo kuuana baada ya uchaguzi tata wa rais wao.
ReplyDeletePeace