Friday, December 19, 2008

Hili ndilo jiji la dallas ndugu, kipindi kama hiki cha sikukuu jiji hili huonekana kama hivi hasa kipindi cha jioni

Masanja, Dallas.

1 comment:

  1. Nyie ccm simnajifanya watu safi, nitumieni ticket basi na mimi nichungulie haya mambo.

    ReplyDelete