Wednesday, December 17, 2008

Hawa ndio aina ya nyani wanaopatikana hapa houston zoo. afya zao migogora bora hata wa huko bongo.

Ndejembi.

4 comments:

  1. ndio maana wanawatamani wakwetu, hatuwapi hata mmoja.

    ReplyDelete
  2. hivi ni kwamba wanajaribu kuwa kama ma-miss au?

    ReplyDelete
  3. Ndejembi labda huyu nyani anakwashakoo.

    ReplyDelete
  4. michael ujue mi nimeipenda rangi yake, imetulia vilivyo utasema kapakwa.

    ReplyDelete